Wakazi wa mji wa Nanyuki watahadharishwa dhidi ya miti mikubwa iliyoko kingoni mwa mto

  • | Citizen TV
    915 views

    Wakazi wa mji wa Nanyuki kaunti ya Laikipia wametahadharishwa dhidi ya miti mikubwa iliyoko kingoni mwa mto wa Nanyuki ambayo imekuwa ikianguka ovyoovyo kutokana na mvua.