Wakenya wafurahia hatua ya Ruto na Raila ya kufanya mazungumzo

  • | KBC Video
    101 views

    Wakenya wamepongeza hatua ya Rais William Ruto na kiongozi wa upinzani Raila Odinga, ya kufanya mazungumzo kupitia mashauriano kati ya pande zote mbili katika kutatua mzozo wa kisiasa. Wakiongea na kituo cha televisheni cha shirika la utangazaji nchini KBC channel one, viongozi pamoja na pia WaKenya wa tabaka mbali mbali walielezea matumaini yao kuhusu mwelekeo wa kisiasa ulioko sasa humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #darubini #dialogue