Wakfu wa Alkhair watoa msaada wa chakula kwa waathiriwa wa mafuriko kaunti ya Tana River

  • | Citizen TV
    263 views

    Wakfu wa Alkhair umetoa msaada wa chakula kwa waathiriwa wa mafuriko eneo la Mororo kaunti ya Tana River.