Wakulima wapiga foleni kupata mbolea ya matandazo

  • | Citizen TV
    705 views

    Huku wakulima wakiwa kwenye msimu wa kunyunyiza mbolea ya matandazo kwenye mashamba yao, wengi bado wanahangaika kupata mbolea hii kwenye maghala ya bodi ya nafaka na mazao -NCPB. Mamia ya wakulima wamekuwa wakishinda kutwa nzima kwenye ofisi za NCPB kaunti ya Trans Nzoia wakisubiri mbolea hii bila mafanikio.