Walimu waliostaafu waomba kupewa malipo mapema

  • | Citizen TV
    241 views

    Serikali ya kitaifa imetakiwa kutengeneza taratibu mwafaka za kuwapa walimu malipo yao ya uzeeni pindi wanapostaafu kwani walimu wengi katika kaunti ya Lamu wanaostaafu huaga dunia kabla ya kulipwa fedha zao za uzeeni.