Wamiliki 600 wa mashamba Manjiri katika kaunti ya Kiambu wapewa hatimiliki

  • | Citizen TV
    460 views

    Mipango ya kuwapa wamiliki 600 wa mashamba Kutoka Kijiji Cha Manjiri lhuko imuru ikaunti ya kiambu inaendelea huku serikali ya kaunti ya kiambu ikiwahakikishia wakazi kuwa watakabidhiwa hatimiliki zao za ardhi msasa ukikamilika.