Wanafunzi Baringo wakabiliwa na hatari ya mamba

  • | Citizen TV
    395 views

    Wanafunzi katika kisiwa cha kokwa kaunti ya Baringo wanalazimika kuvuka maji ya mafuriko ya ziwa baringo ambayo yamesheheni mamba ili kuweza kuhudhuria masomo. Wanafunzi hao hufunga safari hatari kila siku ili kukata kiu ya elimu baada ya daraja walilokuwa wakitumia kusombwa na maji. Aidha wazazi pia wamelazimika kuacha shughuli zao ili kuwavusha wanafunzi wenye umri mdogo