Wanafunzi sita waangamia kwenye ajali ya barabarani katika eneo la Delamere, Naivasha

  • | KBC Video
    141 views

    Wanafunzi sita wamethibitishwa kufariki kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha gari la usafiri wa umma na lori kwenye barabara kuu ya Naivasha-Nakuru. Ripoti zinaonyesha kwamba wanafunzi hao walikuwa wakielekea Nairobi ajali hiyo ilipotokea. Wanafunzi wengine saba, waliopata majeraha kwenye ajali hiyo,walikimbizwa katika hospitali ya kaunti ya Naivasha kwa matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #darubini #accidentnews

    accident