Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dedan Kimathi wapewa mafunzo maalum kuhusu tasnia ya teknolojia

  • | Citizen TV
    447 views

    Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dedan Kimathi kaunti ya Nyeri wanapokea mafunzo maalum kutoka kwa watalamu wa teknolojia kutoka Marekani. Hii ikiwa njia moja ya kuwapa motisha ya kujihusisha na masomo ya teknolojia na pia kutafuta nafasi za ajira katika mataifa mengine.