Wanafunzi wa zamani wa Kahuhia Girls wapokea mwenzao aliyekuwa amehamishwa kutoka shule hiyo

  • | Citizen TV
    1,061 views

    Ilikuwa sherehe ya kufana katika shule ya msingi ya our lady of Victory Kaloleni huko Mavoloni kaunti ya Machakos baada ya mwalimu mkuu aliyekuwa amehamishwa kutoka shule hiyo kurejea. Wanafunzi wa zamani wa shule ya upili ya kahuhia iliyoko kaunti ya Murang'a ambapo mwalimu huyo Lucy Nderitu alisoma walijiunga na wazazi, walimu na wanafunzi wa shule hio kwa sherehe za kipekee.