Wanafunzi walioko kambini Baringo wahofia usalama wao shule zitakapofunguliwa jumatatu

  • | Citizen TV
    264 views

    Wanafunzi waliokita kambi katika shule 20 katika kata ya Saimo Soi, Baringo kaskazini ambao masomo yao yalikatizwa baada ya wazazi wao kukimbia mashambulizi ya majahili wanahofia usalama wao shule zitakapofunguliwa jumatatu kwa muhula wa pili.