'Wanafunzi wapo tayari kuweka taaluma zao hatarini' -

  • | BBC Swahili
    903 views
    Waandamanaji wanaopinga vita vya Gaza wameapa kusalia katika kambi kwenye Chuo Kikuu cha Columbia hadi matakwa yao yatakapotekelezwa, licha ya kukamatwa kwa watu wengi na kuchukuliwa hatua. Zaidi ya wanafunzi 100 walikamatwa katika kambi ya waandamanaji ya New York City wiki iliyopita, na kufuatiwa na makumi wengine katika vyuo vikuu vingine vya Marekani. #bbcswahili #Gaza #hamas Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw