Wanahabari kutoka kaunti ya Kajiado wahamasishwa kuhusu utunzi wa mazingira

  • | Citizen TV
    97 views

    Wanahabari kutoka kaunti ya Kajiado wamepata fursa ya kuelimishwa kuhusu namna ya kupeperusha habari zinazofungamana na mabadiliko ya tabianchi kwa lengo la kuwahamazisha kuhusu jinsi ya kuelimisha umma kuendana na mabadiliko ya hali ya anga.