Wanahabari wapokea mafunzo kuhusu uraibu Nyeri

  • | Citizen TV
    172 views

    Wanahabari kutoka eneo la mlima Kenya wanapokea mafunzo kutoka baraza la kitaifa la wanahabari MCK, kuhusu athari za dawa za kulevya na pombe haramu na jinsi ya kutekeleza wajibu wao kama wanahabari ili kufaa jamii katika vita dhidi ya mihadarati na pombe haramu.