Wanaotaka kuwa maspika wa kaunti watuma maombi

  • | Citizen TV
    334 views

    Wakenya wanaotaka kuwa maspika katika mabunge ya kaunti 47 nchini wamewasilisha maombi yao ya kutaka kuhudumu kwa muda wa miaka mitano ijayo. Wakati huo huo, baadhi ya mabunge ya kaunti yametoa mafunzo kwa wawakilishi wadi kuhusu taratibu za mabunge hayo.