Wanaougua magonjwa sugu watelekezwa Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    1,800 views

    Wagonjwa wanaougua maradhi sugu katika eneo la Trans Nzoia wanalalamikia unyanyapaa kutoka kwa majirani na jamii zao. Wagonjwa hawa ambao wengi wao wanapokea tiba shifaa wakisimulia masaibu yao yanayochangiwa na athari za maradhi wanayougua. Collins Shitiabayi anaarifu kuhusu mikakati iliyoanzishwa kupunguza unyanyapaa miongoni mwao