Wanasiasa waonywa dhidi ya kubeba silaha kwenye magari yao

  • | Citizen TV
    605 views

    Vyombo vya usalama kaunti ya trans nzoia vinapania kuanza misako kwa magari ya wanasiasa kaunti ya trans nzoia kufuatia ripoti kuwa baadhi yao wanabeba silaha haramu wanazotumia na makundi ya vijana kuvuruga mikutano ya wapinzani wao.