Washikadau watoa wito kwa serikali kupiga vita dhidi ya funza kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    206 views

    Washikadau mbalimbali wanazidi kutoa wito kwa serikali ya mashirika yasiyo ya serikali kushirikiana kama njia mojawapo ya kupiga vita dhidi ya funza ambayo inaonekana kuwa kero maeneo ya Kitutu Chache North Kule Kisii hususan katika familia maskini.