Watangazaji wa RMS wakutana na mashabiki Bungoma

  • | Citizen TV
    1,567 views

    watazamaji na wasikilizaji wa vituo vinavyomilikiwa na kampuni ya royal media serives wamekutana na watangazi wanaowaenzi kwenye msafara wa kufana ulioandaliwa kwa minajil yao. Mashabiki walipata fursa ya kukutana wa watangazaji wanaowaenzi kando na kutumbuizwa huku wakihimizwa kupiga kura kwa busara.