Watu 4 zaidi wafariki kutokana na majereha ya risasi

  • | Citizen TV
    1,346 views

    Idadi ya watu waliofariki kwenye maandamano ya upinzani imeongezeka baada ya watu wanne zaidi waliopigwa risasi kufariki katika kaunti za Siaya, Kisumu na Nakuru