Watu 60 wafariki kutokana na mafuriko Tanzania

  • | KBC Video
    85 views

    Wakulima, wafanyabiashara na wakazi wa eneo la Tana Delta kaunti ya Tana River wanakadiria hasara baada ya mafuriko kukumba eneo hilo. Takriban vijiji-11 katika eneo la Tana Delta vimezingirwa na maji huku zaidi ya malori 10 ya kusafirisha bidhaa za shambani yakikwama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News