Waumini wa kanisa katoliki wajumuika na wakristo wengine duniani kuadhimisha Jumapili ya mitende

  • | Citizen TV
    1,203 views

    Waumini wa kanisa katoliki nchini wamejumuika na wakristo wengine kote ulimwenguni kuadhimisha Jumapili ya mitende. Askofu mkuu wa dayosisi ya Nairobi askofu Philip Anyolo alitumia fursa hiyo kuwarai viongozi kuzingatia uwiano wa kitaifa.