Wawakilishi wadi wa kaunti ya Nakuru wapigana makonde bungeni

  • | Citizen TV
    164 views

    wawakilishi wadi wa kaunti ya nakuru walipigana makonde katika bunge la kunti hiyo mapema leo baada ya kutofautiana kuhusu hoja ya kumtimua katibu wa kaunti Samwel Mwaura