Wawakilishi wadi wa Kirinyaga wapitisha bajeti ya 2023/24

  • | Citizen TV
    92 views

    BUNGE la Kaunti ya Kirinyaga limepitisha mswada wa Bajeti ya Shilingi bilioni 6.5 ya mwaka wa kifedha wa 2023-2024.