Wawakilishi wadi wa Makueni wataapishwa kesho kisha wachague spika wa bunge ya kaunti

  • | Citizen TV
    424 views

    Wawakilishi wa bunge la kaunti ya Makueni wataapishwa hapo kesho kabla ya kumchagua spika wa bunge la kaunti hiyo. Watu watano wameidhinishwa kuwania nafasi hiyo ya uspika akiwemo aliyekuwa mgombea mwenza wa muwaniaji wa ugavana wa Azmio hapa Nairobi Prof Philip Kaloki.