Wazazi na wanafunzi wasimulia yaliyowafika katika sakata ya elimu ya Finland

  • | Citizen TV
    1,688 views

    Wazazi pamoja na wanafunzi waliokuwa na matumaini tele, ya kusafiri kuelekea Finland na kanada kwa masomo, kupitia mpango wa kaunti ya Uasin Gishu wamesimulia jinsi walivyoingia katika mpango huo. Na sasa wengi wamesalia katika hali ya umaskini huku wengine kwa mara ya kwanza wakauza mashamba walioyarithi. Baadhi ya wanafunzi wamegeukia ulevi kwa sababu ya kukata tamaa.