- 777 views
Wanafunzi wengi na wazazi wao wamejipata kwenye njiapanda baada ya kusafiri kwa ufunguzi wa shule bila kufahamu kuwa wizara a elimu imeahirisha ufunguzi wa shule kwa wiki mmoja. waziri wa elimu ezekiel machogu alitoa taarifa hiyo usiku wa manane na hivyo wazazi, wanafunzi na walimu hawakuwa na ufahamu walipoelekea maeneo mbalimbali kwa ufunguzi wa shule. Wanahabari wetu wanaangazia kizungumkuti hicho katika steni za magari ya uchukuzi wa umma na hata shuleni _
Wazazi wengi wanahofia usalama wa wanao waliokuwa tayari wameelekea shuleni
- - Floods aftermath ››
- » 'Swahili is a gold coin': Museveni says East Africa not like EU which doesn’t have a common language16 May 2024 - Ugandan President Yoweri Museveni on Thursday challenged East Africans to utilise the shared Swahili language for economic prosperity.
- 16 May 2024 - France deployed troops to New Caledonia's ports and international airport, banned TikTok and imposed a state of emergency on Thursday after three nights of clashes that have left five dead and hundreds wounded.
- 16 May 2024 - Kenya has received 450,000 doses of self-injectable contraceptives in a bid to simplify and enhance the accessibility of family planning among sexually active women.
- 16 May 2024 - Reading Time: 2 minutes Seychelles has endorsed its former Vice President Vincent Meriton to contest for the chairmanship position of the African Union C*mmission (AUC). In a […]
- 16 May 2024 - Deputy President Rigathi Gachagua has defended his office’s proposed allocation in the 2024/2025 financial year.
- 16 May 2024 - All the accused were admitted to a bond of Sh10m with one surety of the same amount each
- 16 May 2024 - Nairobi Woman Representative Esther Passaris has broken her silence on the controversial finance bill saying that she will still vote for it despite having some misgivings about some clauses in it.
- 16 May 2024 - President Yoweri Museveni wants the unification of the eight EAC states.
- 16 May 2024 - 75 Kenyans are still missing
- 16 May 2024 - National Assembly Majority Leader Kimani Ichung'wah has discredited Deputy President Rigathi Gachagua’s proposal of a ‘one-man-one-shilling’ county revenue-sharing formula.