Wazee wa jamii ya wabukusu na wasabaot washirikiana kukuza maadili miongoni mwa vijana

  • | Citizen TV
    108 views

    Wazee wa jamii ya waBukusu na wasabaot Katika kaunti ya Bungoma wanashirikiana kukuza maadili miongoni mwa vijana wanaopashwa tohara Kwa kuhakikisha zoezi hilo linazingatia mila na tamaduni zao.