Waziri Linturi aisihi kamati kumwokoa huku hatima yake ikitarajiwa kubainika Jumatatu

  • | KBC Video
    2,156 views

    Waziri wa kilimo Mithika Linturi sasa anaisihi kamati ya wanachama-11 kumwokoa akikariri kwamba madai yanayomkabili kuhusiana na sakata ya mbolea bandia, hayajathibitishwa kikamilifu. Linturi aliyetoa mawasilisho yake ya mwisho wakati wa siku ya mwisho ya vikao ya kusikiza suala hilo, alisema inasikitisha kwamba kikao hicho kimegeuzwa kuwa jukwaa la kujadilia masuala mengine na wala sio suala la mbolea bandia. Hatima ya waziri huyo itabainika Jumatatu wakati kamati hiyo itakapowasilisha bungeni ripoti yake wakati wa kikao maalum cha bunge la kitaifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive