Waziri wa Elimu ahakikishia shule kuhusu fedha

  • | Citizen TV
    192 views

    Waziri wa Elimu nchini Profesa George Magoha ametoa hakikisho kuwa serikali itasambaza mgao washule za umma ukufikia ijumaa wiki hii.