Waziri wa fedha Profesa Njuguna Ndungu awasilisha bajeti ya kwanza ya serikali ya Kenya Kwanza

  • | K24 Video
    57 views

    Waziri wa fedha Profesa Njuguna Ndungu aliwasilisha bajeti ya kwanza ya serikali ya Kenya Kwanza. Msafara wake toka jengo la hazina ya kitaifa ,ulikuwa chini ya ulinzi mkali na mkenya mmoja alitiwa mbaroni nje ya jengo hilo alipofika pale akiwa na bango kuhusu kupanda kwa gharama ya maisha