Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Owalo azindua kituo cha teknolojia katika kaunti ya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    176 views

    Waziri wa mawasiliano na teknolojia Eluid Owalo amezindua kituo cha kidijitali ya kuwasaidia vijana kusaka pamoja na kufanya kazi mtandaoni ili kujipatia mapato, katika chuo cha kitaifa cha kiufundi cha kitale, kaunti ya Trans Nzoia.