Wizi wa mifugo warejea Baringo

  • | K24 Video
    116 views

    Shughuli za masomo zimetatizwa kosile, wadi ya Saimo Soi, Baringo kaskazini kufuatia mauaji ya watu wawili katika shambulizi lililotokea alhamisi jioni. Wakuu wa usalama wa kaunti na viongozi wengine wamezuru eneo hilo leo kuwatuliza wakazi ambao wameanza kutoroka makwao.