Yaliyomo kwenye Bajeti 2023/24

  • | Citizen TV
    1,488 views

    Kama ilivyo desturi kila kunaposomwa makadirio ya matumizi ya fedha ya mwaka kuna wale wanaotajwa kama washindi na wale wanaopoteza, na hii inategemea na kuondolewa kwa ushuru na kodi au kuongozewa kwa ushuru na kodi