Zaidi ya familia 200,00 zaathirika na mafuriko

  • | K24 Video
    276 views

    Angalau makazi 500 yaliyo karibu na daraja la wembly eneo la ruiru, yamesombwa na mafuriko baada ya mto ulio eneo hilo kufurika na kutatiza shughuli za usafiri na biashara. Haya yanajiri baada ya mmoja kuokolewa kwenye barabara kuu ya thika baada ya gari alilokuwa akitumia kusombwa na maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kiuamkia leo.