Zaidi ya shule 10 katika kaunti ya Nandi zasambaziwa matangi ya maji na Shabiki.com

  • | Citizen TV
    657 views

    Zaidi ya shule 10 katika kaunti ya Nandi zimenufaika na vifaa vya kuhifadhi maji ikiwa ni juhudi ya kutatua uhaba wa maji unaoshuhudiwa kwenye shule nyingi hasa wakati wa kiangazi.