Zaidi ya wanafunzi 130, 000 wanatarajiwa kushiriki mashindano ya kitaifa ya tamasha ya muziki

  • | K24 Video
    68 views

    Zaidi ya wanafunzi 130, 000 wanatarajiwa kushiriki mashindano ya kitaifa ya mwaka huu ya tamasha ya muziki yanayoandaliwa katika kaunti ya Nyeri. Hiyo ni idadi kubwa zaidi ya wanafunzi wanaoshiriki tangu kuanzishwa kwa tamasha hizi. Kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ukuzaji wa vipawa kwa ajili ya ubunifu na maendeleo ya kitaifa, wafanyibiashara katika kaunti ya nyeri wanatarajia kuvuna zaidi.