- 106 viewsKwa miongo kadhaa sasa pamba imekua zao kuu na muhimu kiuchumi kwa wakazi wa Chad kusini. Lakini hivi sasa zao hilo adhimu linakabiliwa na tishio la kutoweka kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa na migogoro ya kila mara ya kati ya wakulima na wafugaji. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Zao la pamba latishia kutoweka Chad Kusini | VOA Swahili
- - Iran's Raisi dead ››
- - House of betrayal? ››
- 20 May 2024 - Foreign Affairs Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has eulogised late Iranian President Ebrahim Raisi who perished in a chopper crash on Sunday evening.
- 20 May 2024 - A Ugandan national who is alleged to have killed his employer at Kombo-ini village in Kirinyaga County has been arrested.
- 20 May 2024 - The Palestinian Islamist group Hamas mourned on Monday the death of Iranian President Ebrahim Raisi, who it said had supported the Palestinian people during the current war with Israel.
- 20 May 2024 - South Africa's top court ruled on Monday that former president Jacob Zuma was not eligible to run for parliament in this month's election, a closely-watched decision as it could affect the outcome.
- 20 May 2024 - President William Ruto has mourned his Iranian counterpart Ebrahim Raisi who died in a helicopter crash on Sunday, May 19.
- 20 May 2024 - A 29-year-old woman accused of killing her husband has been found guilty of murder by the Eldoret High Court.
- 20 May 2024 - The Kenya Meteorological Department has warned of enhanced rainfall in some of the parts of the country due to a tropical storm over the South-West Indian Ocean.
- 20 May 2024 - Transport operations along Machakos-Kangundo road have been temporarily halted after the Kenya National Highways Authority (KeNHA) camped at the area to remove falling rock debris that had blocked a section of the road due to bad weather.
- 20 May 2024 - The pre-trial conference of four suspects in the Ksh 209 mi*lion fake fertilizer scandal has been pushed to July. Anti-corruption Magistrate Celesa Okore has set July 17, 2024, as the next date for the conference as the Director of Public Prosecutions (…
- 20 May 2024 - Kenya and the United States have reiterated their commitment to complete the negotiation that reflects mutually shared goals and values by end of the year. This follows after the conclusion of the fifth round of negotiations under the United States –…