Ziara ya Ruto Marekani

  • | KBC Video
    26 views

    Rais William Ruto amehimiza kampuni za kiteknolojia za Marekani kubuni afisi zao za kimaeneo nchini Kenya akisema taifa hili lina mazingira safi ya uwekezaji katika sekta za teknolojia na utengenezaji bidhaa. Rais Ruto amewahakikishia wawekezaji hao kuwa serikali itashughulikia masuala yoyote waliyo nayo ili kuboresha imani yao kwa Kenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News