Ziara ya ruto msumbiji

  • | TV 47
    33 views

    Rais William Ruto amesema bara la Afrika lina wajibu wa kufanya maamuzi ya makusudi ili kuongeza biashara kati ya mataifa yake.

    Akizungumza katika taifa la msimbuji wakati wa kongamano la uwekezaji , Rais Ruto amesema nchi za afrika zinapaswa kuondoa vikwazo vya kibiashara ili waekezaji wapate kuekeza .

    Alisema kuwa wawekezaji hawataweza kutumia uwezo wa bara ikiwa vizuizi vinavyozuia usafiri huru wa watu na bidhaa havitaondolewa.

    Kiongozi wa taifa alikariri haja ya kuliwezesha bunge la afrika kuufanya umoja wa afrika (au) kuwajibika katika shughuli zake.

    Mwenzake wa msumbiji rais Filipe nyusi amesema kuna fursa ya uwekezaji katika mazao ya kilimo, uzalishaji wa maua na utengenezaji miundombinu miongoni mwa sekta nyingine.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __