25 Oct 2025 7:07 pm | Citizen TV 23,278 views Duration: 2:16 Maafisa wa usalama nchini wamenasa shehena ya dawa za kulevya aina ya metamphetamine yenye thamani ya shilingi bilioni 8.2 katika ufuo wa Bahari Hindi.