25 Oct 2025 7:42 pm | Citizen TV 20,660 views Duration: 59s Baada ya Runinga ya Citizen kuangazia kutoweka kwa msichana mwenye umri wa miaka 13 katika jumba la kibiashara la The Waterfront mtaani Karen, mtoto huyo ameungana na familia yake baada ya kupatikana hii leo.