21 Nov 2025 10:12 am | Citizen TV 529 views Duration: 2:06 Maafisa wa polisi kule Transmara Kusini wanaendelea na msako wa majambazi ambao waliwauwa wafanyabiashara wawili katika soko la Loliondo usiku wa kuamkia Alhamisi kabla ya kutoweka bila kuiba chochote.