Skip to main content
Skip to main content

Betty Bayo azikwa jana Ndumberi, Kiambu

  • | Citizen TV
    25,623 views
    Duration: 2:47
    Maelfu ya Wakenya wakiwemo wanasiasa na viongozi wa serikali walikusanyika katika uwanja wa Ndumberi, Kaunti ya Kiambu katika hafla ya kumuaga mwimbaji wa nyimbo za Ijili Beatrice Wairimu Mbugua maarufu Betty Bayo ambaye alifariki kutokana na ugonjwa wa saratani ya damu katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta siku 11 zilizopita.