Skip to main content
Skip to main content

NTSA yazuia madereva na magari barabara ya Nakuru–Nairobi

  • | Citizen TV
    11,125 views
    Duration: 2:23
    Madereva na magari yamezuiliwa leo kufuatia oparesheni ya usalama barabarani iliyoendeshwa katika barabara ya kutoka nairobi kuelekea nakuru. Polisi waliweka vizuizi maeneo ya limuru na naivasha ambako wale waliokaidi sheria za barabarani na kukosa stakabadhi muhimu walipelekwa mahakamani na kutozwa faini. Maafisa wakuu wa polisi na wale wa ntsa walikagua magari na kusema shughuli hiyo itaendelea kona zote nchini msimu huu wa sherehe.