- 3,823 viewsDuration: 3:01Rais William Ruto amewaamrisha wanaoishi kwenye maeneo yanayokubwa na machafuko huko Narok kurejesha bunduki haramu mara moja. Rais ameapa kuhakikisha kuwa amani imerejea eneo la Transmara. Watu kadhaa wameuwawa na mamia kuhama kwao baada ya nyumba zao kuteketezwa.