- 8,462 viewsDuration: 3:01Eneo la Pwani limefurika watalii wa kutoka humu nchini na nje huku hoteli zikijaa pomoni na baadhi ya wageni wakilazimika kutafuta nyumba za kukodisha. Wadau wanasema kuwa hali hiyo imesababishwa na kuongezwa kwa safari za treni, utulivu wa kisiasa na machafuko nchini Tanzania.