Skip to main content
Skip to main content

Polisi wawazuilia washukiwa 2 wa wizi wa pikipiki

  • | Citizen TV
    7,502 views
    Duration: 3:05
    Maafisa wa upelelezi wamewatia mbaroni washukiwa wawili wanaohusishwa na wizi wa pikipiki jijini Nairobi. Genge la wezi limeripotiwa kuwauwa na kuwajeruhi wahudumu wa pikipiki na kisha kutoweka na pikipiki hizo.