Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto asema Kenya Kwanza haijabadilisha manifesto yake

  • | KBC Video
    394 views
    Duration: 3:18
    Rais William Ruto sasa anasema utawala wa Kenya Kwanza unatekeleza manifesto ya mwaka 2022 ya ajenda ya Bottom-Up. Rais ambaye alikuwa akizungumza wakati wa tamasha na hafla ya kitamaduni huko Baringo na mnada wa uuzaji mbuzi wa Kimalel , alisema ajenda ya kuifanya Kenya kuwa taifa lililostawi ni kuwawezesha wafanyabiashara kuafikia uhuru wa kiuchumi sawia na yaliyostawi Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive