Skip to main content
Skip to main content

Ruto aagiza walio na silaha haramu Trans Mara wazisalimishe

  • | KBC Video
    1,667 views
    Duration: 3:53
    Rais William Ruto ametangaza msamaha wa haraka kwa wakazi wa eneo linalokumbwa na mzozo la Trans Mara wanaomiliki silaha kinyume cha sheria ili wazisalimishe kwa hiari yao. Akizungumza katika kaunti ya Baringo, Ruto alionya kwamba wale watakaoshindwa kufanya hivyo watakabiliwa na sheria ili kurejesha amani katika eneo hilo. Na jinsi anavyotuarifu mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim, naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Eliud Lagat amethibitisha kuwa marufuku ya kutotoka nje kuanzia jioni hadi alfajiri itaendelea kutekelezwa hadi pale hali ya kawaida itakaporejea kikamilifu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive